HUU NDIO UTAJIRI WA BEYONCE AKIWA NA MIAKA 35.

0

September 4, 1981 alizaliwa msanii wa rnb mkali duniani Beyonce ambaye kwa sasa ni mke wa Jay Z, Beyonce amefikisha miaka 35 wiki hii.

Kutokana na muziki na biashara tofauti anazopata Beyonce ameweza kutajwa kwenye orodha ya watu maarufu wenye pesa nyingi zaidi akishikilia namba #34 katika watu maarufu 100.

Utajiri wa Beyonce kwa mujibu wa jarida la FORBES kufikia June 2016 ulikua dola za kimarekani milioni $265 ambao ni sawa na zaidi ya shilingi bilioni 265 pesa za Kenya.

Budget ya Nrbi county ni  shilingi bilioni 14 huku ya kaunti ya Msa ikiwa bilioni 10 tu.

Jenga picha

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar