HUDDAH MONROE ADHARAU WAKENYA WENZAKE. AWAITA WANYAMA.

0

Huddah Monore awadharau Wakenya wenzake kwa kuwaita wanyama na pia wanaishii msituni kwa madai ya wakubwa wetu wanavyo ipeleka nchi yetu vibaya.

Alisema maneno haya akiwa US kupitia mtandao wa Instagram. Wakenya walijitokeza kwa wingi na kumjibu kwa ukali maana anayoyasema Huddah ni dharau tupu maana bado ye pia ni Mkenya pia.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

KAA LA MOTO APATA MTOTO

Msanii wa hiphop kutoka kanda ya pwani Kaa La Moto amepata mtoto. Kaa la moto na mkewe walipata mtoto jana jioni mwendo wa saa moja ...
Skip to toolbar