HIVI WIZKID NA TIWA SAVAGE NI KWELI?

0

Tetesi kuhusu uhusiano wa mapenzi kati ya mastaa wawili wa  mziki nchini Nigeria Wizkid na Tiwa Savage zinaendelea kupamba moto baada ya Wizkid kupost ujumbe mitandaoni.

Wizkid ameongeza nguvu za uvumi huu baada ya kutuma ujumbe unaoonekana kumlenga Ex wa Tiwa Savage.

Tiwa Savage alitengana na jamaa mmoja kwa jina TeeBillz waliyekua katika mahusiano, baada ya kudai alikua akimnyanyasa na kumuibia hela.

Mapema mwaka huu msanii mwenza Davido alichochea zaidi uhuisano katia ya Wizkid na Tiwa Savage baada ya ku’post ujumbe wa utani kuhusu mapenzi yao

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar