HII NDIYO ILIYOKUA KAZI YA ROMA MKATOLIKI KABLA YA KUWA MSANII

0

Mkali wa hip hop nchini Tz Roma Mkatoliki amefichua kazi aliyokua akiifanya kabla ya kuingilia usanii.

Roma amefichua kuwa amewahi kufundisha shule ya sekondari kwao katika eneo la mkoa wa Tanga.

ROM

“Nilikuwa na wakati mgumu sana hasa kwa wanafunzi niliokuwa nawafundisha, wengine ilifikia hatua ya kuniandikia mistari katika baadhi ya masomo niliyokuwa nafundisha ikiwemo Mathematics na Geography.”

Hata hivyo Roma anadai ualimu hakua kwenye damu yake

“Mimi kuwa teacher haikuwa hobby yangu sema  maisha ndio yalinibidi nikimbilie huko”.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || CHIKUZEE & STAMINA – USIONDOKE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>> ARTIST : Chikuzee & Stamina SONG : Nimechoka Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy ...
Skip to toolbar