HARUSI YA ALI KIBA NI LEO MOMBASA. ALIPWA MILIONI 9

0

Ali Kiba amepata dili nono na la mkwanja mrefu kutoka kutoka kampuni moja ya televesheni kanda ya afrika mashariki ili kupeperusha matukio ya harusi yake  moja moja kutoka jijini Mombasa.

Ali Kiba alipangiwa kufunga ndoa na mwanadada Amina Khalef kutoka Mombasa asubuhi ya leo  katika msikiti wa Masjid Ummu-Kulthum eneno la  Kizingo, kabla ya sherehe kuandaliwa Vipingo Ridge kaunti ya Kilifi

Inasemekana kampuni moja ya televisheni yenye makao yake makuu nchini Tanzania imekubali kumlipa Ali Kiba katika ya shilingi milioni 4.5 hadi milioni 9 pesa za Kenya, ili ipepeprushe harusi hiyo moja kwa moja kupitia king’amuzi chake.

Sherehe ya pili ya harusi ya Ali Kiba inatarajiwa kufanyika nchini Tanzania alhamisi ya tarehe 26 eneo la Tabata jijini Dar es Salaam

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BELLE AKANA KUHAMA JIJI LA DAR

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Belle 9, amekana tetesi kwamba amehama jiji la Dar Es Salaam na kurudi kwao alikozaliwakulia. Belle 9 ameeleza kuwa ...
Skip to toolbar