Harmonize aweka wazi sababu ya yeye kusalia single mpaka sasa.

0

Msanii wa bongo fleva Harmonize amefichua kuwa toka aingie kwenye utu uzima hajawahi kujihusisha na mambo ya mapenzi.

Ndio Hermonize toka avunje ungo hajawahi kujihusisha na mambo ya love!!!!

Harmonize amesema yupo makini kwenye swala kama hili sababu  anataka kupata mpenzi ambaye ataweza kumtambulisha kwa jamii.

Harmonize - Kasuku

“Toka niingie kwenye utu uzima sijaingia kwenye mahusiano kwa sababu nataka nifanya maamuzi sahihi.Nataka nikiingia kwenye mahusiano niweke wazi kila mtu ajue” alisema msanii huyo anayetamba na wimbo wa “BADO” alomshirikisha Diamond.

Je ni umri gani mwafaka kwa kijana kujitosa katika maswala ya mapenzi?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NI KWELI OTILE BROWN KAFUNGA NDOA KISIRI?

Gumzo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii kuhusu picha zinazomuonyesha msanii kutoka kanda ya pwano Otile Brown akifunga ndoa. Picha hizo zinamuonyesha Otile Brown na ...
Skip to toolbar