HARMONIZE AKOSANA NA MENEJA WAKE.

0

Taarifa za punde nchini Tanzania zinaeleza kuwa msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kwa jina Harmonize, amekosana na meneja wake anaefahamika zaidi kwa jina Mr. Puaz.

Harmonize amekosana Mr. Puaz jambo lililopelekea Mr. Puaz kutangaza kuacha rasmi kazi ya umeneja kwa msanii huyo.

Akizungumizia uamuzi wake Mr. Puaz ameleeza kuwa sababu kuu ya uamuzi wake ni ukosefua wa maelewano katik yake na Harmonize baada ya kupishana kauli.

Hata hivyo Mr. Pauz amefafanua kuwa bado ataendelea kufanya kazi na wasanii wengine wa WCB iwapo atahitajika kufuatia ukaribu wake na mmiliki wa WCB msanii Diamond Platnumz.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar