HARMONIZE AJIBU MADAI KUHUSU BANGI.

0

Msanii wa WCB kutoka nchini Tanzania, Harmonize amejibu tuhuma iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusu iwapo anatumia bangi.

Harmonize ambaye kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini amejibu tuhuma hizo kwa utani huku akihusisha suala la iwapo anavuta bangi na kufungwa kwa klabu yake anayoishabikia ya Simba iliyofungwa mabao 5 na Al Alhy ya Misri wikendi

Tuhuma kuhusu Harmonize kuwa mvutaji bangi zilizuka baada ya kuonekana akivuta sigara yenye moshi mzito katika moja ya video ambayo aliyoiweka mitandaoni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || ABK – NIKUBEBE

NEW AUDIO HIT ARTIST : Abk – Nikubebe: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI KUPITIA   ...
Skip to toolbar