HARMONIZE AFANYA HILI KWA WALEMAVU

0

Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kwa jina Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kutoa msaada  viti 26 vya walemavu kwa walemavu 26.

Msaada huo umeambatana na pesa kwa walemavu wahusika kwaajili ya matumizi yao ya mambo madogo madogo.

Harmonize anaendeleza kampeini yake ya kuwasaidia walemavu ambapo tayari ametoa miguu bandia na viti vya walemavua kwa wafungwa katika gereza la Kariakor na kwa watu kutoka sehemu tofauti za Tanzania.

Harmonize anasema ameaumua kufanya hivi ili kuwasaidia walemavu kupambanana changamoto zao kila siku kaika harakati zao za kujitaftia.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY WA MITEGO AJIBU BASATA

Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati Patamu,’ msanii huyo amefika mahakamani kuatafuta haki. Kulingana na ...
Skip to toolbar