HARMONIZE ACHUNGUZWA NA POLISI TANZANIA.KISA?

0

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam nchini Tanzania Paul Makonda ameagiza kuchunguzwa kwa mwanamuziki Harmonize, kubaini iwapo ni mvutaji bangi.

Makonda ametoa agizo hili baada ya Harmonize, ambaye kwa sasa yupo ziarani nchini Ghana, kuonekana kwenye kipande cha video katikamtandao wa instagram  akivuta kitu kinachotoa moshi.


Harmonize akiwa katika studio Ghana

Harmonize alikua katika studio akitengeneza mziki na msanii Burnaboy

Makonda anasema iwapo itathibitika kuwa ni bangi Harmonize atawekwa ndani.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII AJINYONGA.

Msanii wa kundi la Rock la Linkin Park ‘Chester Bennington‘ amejiuwa kwa kujinyonga. Polisi wamekuta mwili nyumbani kwake Palos Verdes jijini Los Angeles. Chester Bennington ...
Skip to toolbar