HAMISA MOBETTO: NITAKUBALI KUOLEWA NA DIAMOND IWAPO ATAFANYA HILI.

0

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Hamisa Mobetto amekiri kwamba atakubali kuolewa na Diamond Platnumza iwapo Diamond atataka kufunga naye ndoa.

Hamisa Mobetto anasema wapo wanaume wengi ambao wametaka kumuoa lakini akakataa sababu hawakua na mwingiliano nao kimaisha kama alivyo na Diamond Platnumz.

Bi. Mobetto anasema kumzalia Diamond mtoto ni moja wapo ya vitu vitakavyomsukuma kukubali kuolewa na Diamond iwapo Diamond atakubali kulea watoto wake wengine aliozaa na wanaume wengine bila kuwabagua.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar