HALI YA MSANII HAWA MASHAKANI!

0

Imebainika kuwa msanii aliewahi kutamba na ngoma “Nitarejea” aliyoshirikishwa na Diamond kwa jina Hawa anasumbiliwa na ugonjwa wa ini.

Ndio!!..  Hawa aliyeimba na Diamond Nitarejea hali yake sio nzuri. Ini linamsumbua.

Alikungumza na wandishi walipomtembelea nyumbani kwa mamake, Hawa amesema madaktari wamebainisha kuwa ini lake limedhoofika na kupelekea mwili kujaa maji.

Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu mwanadada huyu aliporipotiwa na vyombo vya habari kuwa alikuwa mteja wa kupindukia kutokana na matumizi ya pombe za kienyeji.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

VERA SIDIKA AHAMISHA MAPENZI TANZANIA

Mwanamitindo maarufu mwenye makao yake jijini Nairobi, Vera Sidika Mung’asia aka Queen V amezua gumzo mitandaoni baada ya kumnunulia zawadi ya gari kijombi kimoja kinachodaiwa ...
Skip to toolbar