H_ART THE BAND WANUSURIKA KIFO

0

Kundi la wasanii wa kiume la H_Art the Band waliouvuma na kibao chao uliza kiatuwamehusika katika ajali.

Kulingana na taarifa, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama na Kenneth Muya wanaotengeneza kundi hilo, wanasemkana kuhusika katika ajali hiyo lakini hakuna aliyejeruhiwa vibaya.

 

Kundi la Sauti Sol lilijitokeza mtandaoni na kushukuru mungu kwa kunusurika kwa kundi hilo na pia kulitakia kundi la H_Art The Band afueni ya haraka.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SUGU KUJA NA NAMBA YA JELA

Mbunge wa Mbeya mjini nchini Tanzania Joseph Mbilinyi  (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya Hip Hop ya Tanzania, anatarajia kuachia ...
Skip to toolbar