GRAND PA YAFIKA MWISHO?

0

Msanii wa mwiso aliyekua amebaki katika record label iliyowahi kuvuma miaka ya nyuma Grand Pa Records Dufla Diligon ametangaza kuihama record label hiyo.

Taarifa za Dufla kuihama Grand Pa zinaashiria kufika mwisho kwa record label hii ambayo iliwahi kutikisa tasnia ya mziki nchini kupitia wasanii tofauti.

Dufla ametangaza kujiunga na producer Visita ambaye aliihama studio hiyo baada ya mgogoro na mmliki wa record label hiyo Refigah.

Dufla anjiunga na wasanii wengine kama Kenrazy, DNA na Sossun ambao walimfuata producer Visita aliotengana na Refigah.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

WCB INATAFUTA MSANII WA KIKE

Record Label ya WCB inchini Tanzania inayomilikiwa na msanii Diamond Platnumz ipo katika mchakato wa kuongeza msanii mwingine wa kike. Queen Darleen ndiye msanii pekee ...
Skip to toolbar