GIGY MONEY AWATAJA MASTAA 6 WA BONGO FLAVAZ ALOWAHI KULALA NAO

0

Model na Video queen maarufu nchini TZ  Gigy Money amejitokeza na kutangaza wazi mastaa na wasanii wa Bongo Flavaz aliowahi kulala nao.

Gigy Money ambaye ameonekana katika video mbali mbali za wasanii Bongo na kuwatoa mate wanaume wengi kutokana na uzuri na maumbile yake, anadai kuwahi kulala na jumla ya  mastaa 6 wakiume kufikia sasa.

gigy money

Kupitia mahojiano ya runinga moja nchini Tz, Gigy Money amedai amewahi kutoka kimapenzi na AliKiba, Abdu Kiba, Rich Mavoko, Harmonize, Hemed Phd pamoja na mtangazaji mmoja wa kipindi cha runinga cha Clouds TV kwa jina Castro Dickson.

Gigy ambaye pia ni mtangazaji wa kituo kimoja cha radio nchini Tz kwa jina Choice FM, amedai katika wanaume wote hawa, alikua tayari kuzaa mtoto na mtangazji  Castro Dickson.

gigy_money

Kufikia sasa kati ya mastaa wote waliotajwa hakuna hata mmoja amejitokeza kuzungumzia madai.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BROWN MAUZO – KILLING ME

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Brown Mauzo – Killing Me: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar