FID Q ALAUMU HAWA KWA KUDORORA KWA HIPHOP

0

Msanii wa Hip Hop nchini Tz Fid Q amewalaumu wasanii wa Hip hop kama chanzo cha muziki huo kushindwa kukua kwa kasi na kutoboa kimataifa.

Fid Q anasema anawalaumu wasanii wa Hip Hop kutokana na wengi wao kutotaka kuwekeza Zaidi katika kazi zao licha ya kuwa uandishi mzuri wa mashairi.

Fid2

Fid Q amesema moja wapo kinachowafelisha ni wasanii hao kutotaka kuweka nguvu kubwa kwenye video zao na kufanya video za kawaida ambazo zinashindwa kwendana na soko la muziki wa sasa kitaifa na kimataifa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar