FID Q AFUNGA NDOA.

0

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amefunga ndoa jana katika msikiti wa Qiblatain Boko Jijini Dar es Salaam.

Taarifa za punde nchini Tanzania zimeeleza kuwa Fid Q amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi kwa jina Karima.

Wiki iliyopita Fid Q alimvisha pete ya uchumba Karima.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Benitez kutua Newcastle…

Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Liverpool Rafael Benitez, anaripotiwa kuwa chaguo la klabu ya Liverpool iwapo mkufunzi wa sasa wa klabu hiyo Steve McClaren, ...
Skip to toolbar