FAHAMU PERFUME GHALI ZAIDI DUNIANI. BEI YAKE HUTAAMINI!

0

Kampuni moja ya kutengeneza manukato nchini Dubai imezindua marashi yanayosemakana kuwa ghali zaidi duniani kwa sasa.

Kampui ya Nabeel Perfumes Group imezindua perfume hiyo kwa jina The Spirit of Dubai, inayosemkana kugharimu takribani shilingi milioni 131 pesa za Kenya.

Perfume hii imeelezwa kuwa ghali kutokana na mapambo yanayoipamba chupa yake, ambapo inasemkana chupa ya marashi haya imepambwa kwa almasi, dhahabu na madini mengine ghali duniani.

Marashi haya kwa sasa yanashikilia rekodi mbili katika Guinness World Book of Records moja wapo ikiwa marashi yalipombwa na alamsi nyingi zaidi duniani.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY ADAIWA KUWA NA KIBURI

Msanii mwenye sauti ya ninga kutoka nchini Tanzania Ruby anadaiwa kuwa na kiburi. Madai haya yametolewa na msanii mwenzake katika kundi la THT kwa jina ...
Skip to toolbar