FAHAMU MSANII WA  PEKEE ANAYEMILIKI NDEGE AFRIKA

0

Rapa Cassper Nyovest kutoka nchini Afrika kusini ndiye msanii wa kwanza barani Afrika kumiliki ndege.

Kulingana na taarifa za punde kutoka Afrika Kusini, Cassper Nyovest anamiliki ndege ya kibinafsi aina ya King Air B200 yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.7 ambazo ni sawana shilingi milioni 170 pesa za Kenya.

Inasmekana Casper Nyovest alinunuliwa ndege hiyo alipoingia katika mkataba na kinywaji cha Ciroc Vodka kuwa balozi wake.

Inakadiriwa huenda msanii huyu akawa miongoni mwa wasanii tajiri zaidi barani afrika kutokana na dili  anazopata kila kukicha mbali na kujaza mashabiki wanaolipa ada ya kiingilio katika matamasha yake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar