EMINEM AENDELEZA REKODI YA ALBUMS

0

Rapa Eminem kutoka nchini Marekani amefanikiwa kufikisha album tisa zilizowahi kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za BILLBOARD TOP 200.

Album yake mpya kwa jina Kamikaze kwa sasa imeshika nafasi ya kwanza kwenye BILLBOARD TOP 200 baada ya mauzo ya kopi 434,000.

Kila album ya Eminem ambayo amewahi kutoa toka mwaka 2000 alipoachilia album  The Marshall Mathers LP imeshika nafasi ya kwanza kwenye BILLBOARD TOP 200.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BEST BOOMER & KIMBO – URAIBU

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>> ARTIST : Best Boomer & Kimbo – Uraibu: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy ...