EDDY KENZO ASEMA HAOGOPI MUSEVENI

0

Msanii wa mziki nchini Uganda Idrisa Musuuza aka Eddy Kenzo, amesema haogopi kusema ukweli kuwa wananchi ndio wenye nguvu kushinda serikali.

Katika interview moja ya kituo cha radio, Kenzo,amesema serikali ikitaka inaeza pia kumshika lakini bado yeye yupo upande wa haki na nguvu za wananchi.

Eddy Kenzo sasa ameungana na Bobi Wine kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya kuisaidia familia ya dereva wa Bobi Yasin Nyanzi, aliyepigwa risasi na kufariki agosti 13.

Majuzi familia ya Yasin Nyanzi ilikataa pole ya shilingi million 20 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi laki 5 pesa za Kenya, kutoka kwa serikali ya Uganda kama fidia.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BEKA FLAVA ATAMANI KUFUGA MBWA. SABABU?

Msanii Beka Flavaz kutoka nchin Tanzania anasema anatamani kufuga mbwa, ili kumlinda mpenzi wake asiibiwe na wanaume wengine katika Bongo Flavaz. Beka Flavaz anasema ana ...
Skip to toolbar