EDDY KENZO AENDELEA KUOGA MATUSI

0

Nchini Uganda, Msanii Eddy Kenzo anaendelea kuogelea matusi ya baadhi ya mashabiki wa mziki wa Uganda katika mitandao ya kijamii, baada ya ku’post picha ambayo amemuondoa mama ya mtoto wake msanii mwenza Rema Namukala na kumuacha bintiye kwa jina Amaal.

Baada ya kukera baadhi ya mashabiki wanaolazimisha afunge ndoa na msanii Rema Namukala aliyezaaa nae Amaal kwa kuwaambia wazi hana mipango ya kuoa karibuni, Eddy amejipata katika kikaango chengine cha mashabiki baada ya ku’post picha hiyo.

Eddy alipost kipande cha picha ya bintiye Amaal alichokikata kutoka kwa picha iliyopigwa ikiwa na Rema na Amaal, hatua ambayo haikufurahisha mashabiki wa msani Rema Namukala wanaoendelea kum’miminia matusi mitandaoni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII ANAYELIPWA HELA NYINGI ZAIDI KENYA.

Msanii Otile Brown anadai kwa sasa yeye ndiye msanii anayelipwa hela nyingi zaidi kutumbuiza nchini. Otile Brown ambaye majuzi aliachilia kazi mpya akimshirikisha msanii kutoka ...
Skip to toolbar