DULLY SYKES ASEMA KAZALIWA TENA KISANAA

0

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva, Dully Sykes anasema wimbo wake mpya wa Inde aliomshirikisha Harmonize umemfungulia ukarasa mpya kimuziki.

Dully anadai wimbi Inde umempa upeo wa ufahamau ni aina gani ya muziki mashabiki wake walikuwa wakiutarajia kutoka kwake.

Aidha Dully anajisifu kwamaba alifanya uamuzi mzuri kuchagua kufanya collabo na Harmonize kwenye wimbo huo kwani kumeongeza impact ya kazi hiyo ambayo video yake imefikisha views laki nane ndani ya wiki moja.

Kwangu mimi ‘Inde’ ni ukurasa mpya katika maisha yangu ya muziki, ni muda mrefu sijatoa ngoma ambayo imefanya vizuri kwa muda mfupi kama hii, kwa hiyo naweza kusema nimejifunza vingi, nimegundua mashabiki wa muziki wangu walikuwa wanamtaka Dully wa zamani, Dully wa kipindi kile,” alisema Dully Sykes.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar