DRAKE AMFANYA HIVI RIHANNA.

0

Mbali performance nzuri aliyofanya Rihanna wakati wa utoaji wa tuzo za Billboard Music Awards 2016, issue nyengine inayotrend kwa sasa kumhusu mrembo huyu ni pete aliyoonekana ameavaa kwenye mkono wake wa kushoto.

Kwa mujibu wa mtandao mmoja kwa jina Hollywood life, mtu wa karibu kutoka kwenye tour team ya Rihanna amedai kuwa engagement ring  aliyoonekana nayo Rihanna kwenye tuzo za Billboard alipewa kama zawadi na rapper Drake.

drake-rihanna-not-dating-ftr

Inadaiwa pete hiyo ambayo ni ya 16 carat diamond inakadiriwa kuwa na thamani ya kiasi cha dola milioni 1.

Hata hivyo inadaiwa Rihanna na Drake wanataka mahusiano yao yabaki kuwa siri mpango ambao wanaamini kuwa utakua na manufaa ya kibiashara kwenye shughuli zao za kimuziki

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar