DRAKE AELEZEA ALIVYOANZA KUPENDA RIHANNA.

0

Rapa wa Young Money Drake amejimwaga mbele ya mastaa kibao kwenye tuzo za Video za MTV na kusema alianza kumpenda Rihanna toka akiwa na umri wa miaka 22.

Drake alipewa heshima ya kumkabidhi Rihana tuzo ya Micheal Jackson Rihanna na alitumia mda huo kuelezea jinsi anavyomkubali staa huyu.

Drake amefichua kua alikutana na Rihanna mwaka wa 2005 wakati wa utengezaji wa video ya wimbo wa kwanza wa Rihanna kwa jia “Pon de Replay”

download (1)

Drake amefichua kua ali act part katika video hiyo na ni wakati wa shooting ambapo aliweza kuutana na Rihanna.

Drake amesema alianza kumpenda toka enzi hizo mpaka sasa.

Rihanna na Drake wamekuwa wakitajwa kuwa ni wapenzi kwa zaidi ya miezi miwili sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || KLEAN HEART & SOOPY – NITARUDI

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Klean Heart & Soopy – Nitarudi: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy ...
Skip to toolbar