(Listen/Download) NEW AUDIO: DHILLY DHILLY – JAPO KIDOGO

0

Ni August 10 na kama ilivyoku ahadi yake, msanii anayekuja
kasi katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya kanda ya Pwani Epher T Dhily Dhily ameachilia kazi yake mpya kwa mashibiki wa mziki kizazi kipya.

Dhily Dhily anayetokea Kilifi, amerekodi kazi yake mpya katika studio za Crack Sounds – Kilifi chini ya produza J Crack Mfalme.

Kujipakulia Bonyeza hapa||DOWNLOAD HERE

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

LIL’ KIM ATANGAZWA KUFILISIKA

Mwanamuziki Lil’ Kim ametangazwa kufilisika. Inasemekana mpaka sasa mwanamuziki huyo ana madeni yanayofikia dola za kimarekani  milioni 4 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi ...
Skip to toolbar