DOGO JANJA NA IRENE UWOYA WAHAMA NYUMBA YAO. SABABU?

0

Msanii wa Bongo Flavaz nchini Tanzania Dogo Janja amefichua sababu kuu iliyopelekea kuhama nyumba yake ya zamani.

Dogo Janja ameeleza kuwa amelazimika kuhama baada ya mkewe ambaye ni muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya kudai kutokewa na ‘mzimu’ wa marehemu Agnes Masogange.

Dogo Janja  anasema walilazimika kuhama walipokuwa wanaishi awali sababu Irene alikuwa akisumbuliwa na kumbumbuka za mara kwa mara kuhusu marehemu Agnes GeraldMasogange’ aliyekua rafiki wake wa karibu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar