DIAMOND PLATNUMZ ANUNUA NYUMBA KENYA. IKO MJI HUU

0

Msanii mkubwa nchini Tanzania Diamond Platnmuz amenunua nyumba jijini Nairobi.

Kupitia mitandao ya kijamii, msanii Diamond ameonyesha vyumba na mpangilio wa nyumba husika aliyofichua iko jijini Nairobi.

Tayari Diamond anamiliki nyumba jijini Dar e salam nchini Tanzania na Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RICH MAVOKO ATAKA KUJIUA?

Msanii Rich Mavoko kutoka nchini Tanzania amezua hofu mitandaoni baada ya kutuma ujumbe unaoashiria anataka kujitoa uhai. Kupitia akaunti yake ya instagram, Rich Mavoko ametuma ...
Skip to toolbar