DIAMOND KUWAKUTANISHA MADEMU WAKE 5 USO KWA USO!

0

Gumzo limezuka mitandaoni baada ya list kutajwa ya kinadada waliotoka kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul aka ‘Diamond Platnumz’ kukutana uso kwa uso  kwenye tamasha la Wasafi Festival  linalotarajiwa kufanyika , Novemba 24, mwaka huu.

Akithibitisha uwepo wa warembo hao kwenye list ya waalikwa, meneja wa WCB, Hamisi Taletale aka ‘Babu Tale’ amesema kuwa Diamond anataka kila mmoja asikose tamasha hilo kwa kuwa anaamini kuwa tamasha hilo ni kubwa na la kuleta mapinduzi ya burudani.

Mwaliko huo umetua kwa  Wema Sepetu, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper, Anastazia Kimaro aka ‘Tunda’,  Irene Hilary aka ‘Lynn’ sawia na  Lilian Kessy aka ‘Kim Nana’ ambaye anadaiwa kushikilia usukani wa penzi la Diamond kwa sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar