DIAMOND KUHAMIA KENYA

0

Msanii Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania amefichua kuwa anafikiria kuhamisha makao yake hadi nchini Kenya baada ya kujionea uungwaji mkono wa kiana yake na mashabiki wa mziki wa kizazi kipya nchini Kenya.

Diamond anasema anajivunia uhusiano bora na wakenya akieleza kuwa alifurahishwa na heshima ya wakenya kuhudhuria matamasha yake kwa wingi.

Kauli yake inajiri wiki chache baada ya kufichua uwezekano wa kuhamia nchini Kenya kwa kile alichokitaja kama kusumbuliwa na baraza la sanaa nchini Tanzania kwa kufungiwa nyimbo zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar