DIAMOND AZUNGUMZIA UVUMI MPYA WA KUCHEPUKA.

0

Staa wa mziki nchini Tanzania Diamond Platnamuz amekanusha madai kwamba anachepuka na mwandada mmoja kwa jina Tunda Sebastian.

Karibuni uvumi kuhusu mchepuko mpya wa Diamond umekithiri katika mitandao ya kijamii nchini Tanzania,  baada ya kipande kimoja cha video kusambaa kikimuonyesho rafiki moja wa karibu wa mwandada Tunda akipiga ziara katika nyumba mmoja inayomilikiwa na Diamond.

Diamond amepuuzia mbali madai haya.

Itakumbukwa kwamba Diamond alikna wazi wazi kuhusu uhusiano wae na mwanadada Hamisa Mobeto mwanzo mwa uvumi kabla ya kuja kubai katika vyombo vya habari.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar