DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO NA BABAKE

0

Diamond Platnumz amekanusha madai yaliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hamsaidii babake mzazi .

Akizungumza baada ya kutoka mahakamani kuskiliza kesi ya malezi ya mtoto wake wa nje ya ndoa aliyezaa na Hamisa Mobeto, Diamond amesema yeye humsaidia babake kila wakati na wala hajamtelekeza.

Hata hivyo Diamond amefichua kuwa hako na mahusiano ya karibu ikilinganishwa na mamake mzazi kitu anachosema kimepelekea yeye kutooneana sana hadharani akiandamanana babake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar