DIAMOND ATAKA SIKU YAKE YA HARUSI IWE “PUBLIC HOLIDAY” TANZANIA

0

Msanii Diamond Platnumz anaitaka serikali ya Tanzania, kutangaza siku yake ya harusi kuwa siku ya mapumziko nchini humo.

Akielezea sababu ya kusongezwa mbele kwa tarehe ya harusi yake na mrembo Tanasha Donna kutoka tarehe 14 Februari, Diamond amesema hatua hiyo itawezesha waalikwa wote kuhudhuria harusi hiyo ambayo amitaja itakua kubwa.

Diamond amefichua kuwa tarehe hiyo imesongezwa mbele baada a wazazi wa Tanasha kueleza kuwa watakua kazini siku ya tarehe 14 Februari.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar