DIAMOND APATA KIMWANA KIPYA. NI MKENYA!

0

Msanii Diamond Platnumz wa nchini Uganda amezua gumzo jipya mitandaoni baada ya kufichua kuwa kapata mchumba mpya.

Kupitia kaunti yake ya instagramDiamond ametaja mwanadada mmoja kwajina Tanasha Donna Oketch ambaye ni raia wa Kenya, kama mchumba wake mpya.

Tanasha Donna Oketch ni mtangazaji wa kituo kimoja cha radio jijini Nairobi.

Tangazo la Diamond linajiri miezi 9 baada ya kutangaza kutamatika kwa penzi lake na ZariTheBossLady

Akithibitisha uwepo la penzi, Tanasha amedai kuwa Diamond amezama katika penzi lao, hususan baada ya Diamond kupost kipande cha video instagram akiwa ameandika jina la Tanasha kwenye mchanga wa bahari.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BEKA THE BOY – HIGHER

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Beka The Boy – Higher: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar