DIAMOND AOMBA MSAMAHA.

0

Hatimaye Diamond Platnumz amefinyaa na kuamua kuomba msamaha uma, kufuatia kitendo chake cha ku’post video ya utupu katika mitandao ya kijamii.

Katika ujumbe wake wa kuomba msamaha, Diamond Platnumz amesema halikua jambo jemba la kufanya katika jamii ya sasa na akaomba uma msamaha.

Diamond Platnumz alihojiwa na polisi kabla ya kuachiliwa kwa dhamana kufuatia kile wizara ya utamaduni na sanaa nchini humo ilichokitaja kama kukiuka maadili ya kijamii ya taifa la Tanzania.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar