DIAMOND AOMBA MSAMAHA MASHABIKI.

0

Msanii Diamond Platinumz wa nchini Tanzania ameomba msamaha mashabiki baada ya kukatisha performance yake, iliyokua ikiendele jijini Birmingham nchini Uingereza kufuatia vurumai.

Diamond kwa sasa yupo kwenye tour barani Uropa.

Imeelezwa kuwa vurumai lilizuka baada ya mashabiki waliokua wakilazimisha kuingia ukumbini kukatazwa na walipoingia walipanda stejini na kupelekea kukatishwa kwa show.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar