DIAMOND AMNUNULIA HAMISA NYUMBA

0

Diamond Platnumz amethibitisha kwamba amemnunulia Hamisa Mobetto nyumba mpya.

Diamond amethibitisha haya baada ya taarifakusamba  katika mitandao ya kijamii kwamba Hamisa amehamia nyumba mpya pamoja na watoto wake  Dylan and Fantasy.

Inadiawa Diamond amemnunulia Hamisa nyumba baada ya mamake Diamond Sanura Sandra kumfurusha Hamisa kutoka nyumba yao ya Mandale.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

EDDY KENZO AENDELEA KUOGA MATUSI

Nchini Uganda, Msanii Eddy Kenzo anaendelea kuogelea matusi ya baadhi ya mashabiki wa mziki wa Uganda katika mitandao ya kijamii, baada ya ku’post picha ambayo ...