DIAMOND AJIBU KIJEURI SHABIKI

0

Baada ya mashabiki kumtuhumu Harmonize kumuiga Diamond – sasa imekuwa ni zamu ya Diamond kuambiwa anamuiga msanii flani.

Baadhi ya mashabiki wamekua wakinung’unika kwamba Diamond ana muiga msanii wa marekani Ne-Yo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond amejibu shabiki mmoja aliyezua hoja hii kwa jeuri.

Diamond amemjibu shabiki huyu kwa kumsistizia kwamba hamkopi tu, bali pia kwa sasa anaeleka Marekani kufanya nae video ya Collabo yao.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar