DIAMOND AFICHUA MIPANGO YAKE YA 2019. MOTO SANA!!

0

Baada ya kufunga mwaka wa 2018 na mafanikio makubwa katika biashara ya mziki, msanii Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania ameelezea nia yake ya kuendelea kugandamiza kimziki mwaka wa 2019.

Diamond amefichua mipango yake ya mwaka 2019 kwa mashabiki.

Diamond anasema  mwaka wa 2109 analenga kusukuma brand yake zaidi ili ivuke mipaka ya Afrika Mashariki hadi katika soko la kimataifa.

Aidha Diamond angependa kufanya collabo na wasanii zaidi wa kimataifa, huku akilenga zaidi kusukuma lugha ya Kiswahili mbele ya jamii ya kimatifa kupitia nyimbo zake katika sehemu tofauti za dunia.

Kufikia sasa Diamond amefanya collabo na wasanii tofauti wa kimataifa ikiwemo Omarion, Rick Ross, Neyo na Morgan Heritage.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TIMMY TDAT AZINDUA VIATU VYAKE

Msanii Timmy Tdat kutoka jijijni Nairobi amezindua bidha mpya chini ya fashion label yake ya ‘Tdat Pamba’ Timmy amezindua open shoes/sandals (ama gubadhi) mpya chini ...
Skip to toolbar