DIAMOND AFICHUA HILI KUHUSU MAISHA YAKE YA MAPENZI.

0

Msanii mkubwa nchini Tanzania Diamond Platnumz,  ameamua kuweka wazi maisha yake ya mahusiano.

Diamond amethibtisha kuwa kwa sasa yupo single.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa snapchat, Diamond ameandika na kusema kuwa kwa sasa yeye ni ‘single boy’ na anatafuta mwanamke wa kuwa naye katika mahusiano.

Diamond ni mmoja wa wasanii wanaoongoza kwa kuwa katika husiano na msururu wa wasichana tofauti.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

OMMY DIMPOZ AFICHUA CHANZO CHA UGONJWA

Siku chache zilizopita taarifa zilisambaa kwamba msanii wa mziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz kazidiwa na uggonjwa hadi kalazwa ...
Skip to toolbar