DIAMOND ACHILIA VIDEO MPAYA. ZARI YUKO NDANI

0

Msanii Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya kwa jina Iyena aliomshirikisha Rayvanny masaa machache yaliyopita.

Hata hivyo jambo la kushangaza ni kwamba video hiyo yupo Zari The Boss Lady ambaye alitangaza kuvunjika kwa mahusiano yao.

Wimbo huu unamaudhui ya harusi na katika videoDiamond Platnumz wanaonekana wakifunga ndoa inayohudhuriwa na marafiki wa Diamond Platnumz pamoja na mamake.

Swali ni je video hii ilitengezwa kabla kukosana ama baada ya kukosana?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY AELEZA KIINI CHA KIMYA CHAKE

Wahenga walisema kimya kina mshindo. Kwa Nay wa mitego; wapenzi wa Bongo flavaz wanasema kimya chake kina mshindo zaidi. Nay wa mitego amelazimika kuelezea kwa ...
Skip to toolbar