DIAMOND AANDAMWA NA KASHFA MPYA YA MAPENZI RWANDA

0

Msanii Diamond Platnumz amehusuishwa kulala na msichana mweninge wakati walipokua katika ziara yake ya kimziki nchini Rwanda.

Tetesi kuhusu kuchepuka kwa Diamond zimezuka baada ya mwanadada mmoja raia wa Rwanda kupost picha akiwa katika chumba cha malazi kinachofananna na cha Diamond.

Haya yalizuka baada ya wote ku’post picha ambazo kwa nyuma zinaonyesha mazingira sawia ya chumba na kuibua gumzo mtandaoni kwamba walikuwepo katika chumba kimoja.

Mbona madai ya michepuko hupenda kumuandama Diamond Platnumz kwa sana?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII AAMUA KUTOA MAKALIO FEKI

Msanii mmoja wa kike nchini Marekani kwa jina Kimberly Michelle Pate maarufu kwa jina K.Michelle anataka kutoa makalio bandia aliyopandikizwa ka njia ya upasuaji. K.Michelle ...
Skip to toolbar