DEMARCO AJIANDIKIA MISTARI YA KISWAHILI

0

Msanii Arrow Boy amekataa madai kwamba alimuandikia mistari ya Kiswahili msanii Demarco raia wa Jamaica katika collabo yao ya wimbo “Love Doctor

Akizungumzia collabo hiyo, Arrow boy amefichua kuwa Demarco ndiye aliyejiandika mistari aliyoiimba kwa lugha ya Kiswahili katika wimbo huo.

Arrow Boy anasema kutokana na Demarco kuzuri Kenya mara kwa mara ilikua rahisi kwake kuandiki mistari hiyo.

Arrow boy alibahatika kufanya collabo na Demarco alipozuru Kenya katika uzinduzi wa album ya Redsan.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar