DELA MBIONI KUACHIA ALBUM YA PILI.

0

Msaii wa kike mwenye makao yake jijini Nairobi Dela yumbioni kuachilia album yake ya pili.

Dela anatarajiwa kutoa album yake ya pili iliyosheheni nyimbo 15 chini record label ya TaurusMusik ambayo kwa sasa pia inamsimamia na msanii wa kike nchini Tanzania Lady Jaydee.

Akithibitisha haya kupitai akaunti yake ya mtandao wa instagram, Dela amewashukuru mashabiki wake na kuwataja kama sababu kuu iliyompa msukumo wa kutengeneza album ya pili.

Katika albamu hiyo Dela amewashirikisha wasanii tofauti, ikiwa ni pamoja na Aadekunle Gold, Locko, kundi la H Art the Band, Silvastone, Gilad Mill na Kagwe.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar