DAVIDO ANUNUA NDEGE

0

Msanii mkubwa nchini Nigeria Davido amenunua ndege.

Davido amethibitisha hili kwa kupitia twitter account yake ambapo amesema yote hayo ni matunda ya bidii zake.

Davido mwenye umri wa miaka 26 anakua mmiliki wa ndege mwenye umri mdogo zaidi barani Afrika.

Hi inajiri baada ya msani huyu kumnunulia mpenziwe gari la thamni ya shilingi milioni 12.5 pesa za Kenya.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar