DARASSA:WASANII WENGI SIO MATAJIRI KAMA WANAVYOONEKANA.

0

Msanii Darassa kutoka nchini Tanzania ameibua gumzo kali miongoni mwa mashabiki wa mziki wa kizazi kipya kanda ya afrika mashariki, baada ya kudai kua baadhi ya wasanii nchini Tanzania wana majina makubwa kiumaarufu lakini hali halisia ni maskini.

Akizungumzia umaarufu wa nyimbo zake za kitambo zilizomuweka kwenye ramani ya mziki kanda ya afria mashariki, Darassa amefichua kuwa nyimbo hizo hazikumletea pesa nyingi kama wengi wanavyodhania.

Darassa alinyamaza takribani mwaka mmoja baada ya kuvuma na wimbo kwa jina “muziki” kabla ya kuachia kazi mpya mwishoni mwa mwaka jana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

FLAVOUR ATIMIZA NDOTO YA SHABIKI WAKE.

Msanii Mr. Flavour kutoka nchini Nigeria amefanya kitendo ambacho hakitaweza kusahaulika kwa urahisi katika maisha ya shabiki wake mmoja. Akiwa katika tour nchini Liberia, Mr. ...
Skip to toolbar