CHRIS BROWN NA DEMU MPYA

0

Picha moja aliyoposti Chris Brown akiwa studio na Agnez Mo ambaye ni mwimbaji kutoka Indonesia imebua uvumi kuwa huenda ndiye mpenzi wake mpya.

Picha aliyotuma Brown kwenye mtandao wa Instagram inamuonyesha akiwa na Agnez Mo ambaye ni mwimbaji kutoka Indonesia.

Mo ni mwanamuziki tajiri nchini Indonesia akiwa anaongoza kwa mauzo ya nakala zake kwa miaka mingi mfululizo.

Mwimbaji huyo ni mzaliwa wa Jakarta, yupo nchini Marekani kwa masuala ya kimuziki ambapo anataka kukamilisha albamu yake.

Msani huyo hajawahi kutulia kwenye uhusiano wa kimapenzi tangu apigwe chini na warembo Rihanna na Karrueche Tran.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BEYONCÉ KUFANYA SHOW NA DANCERS 100

Msanii mkubwa wa kike nchini Marekani Beyoncé ameripotiwa kusajili dancers 100 kwa ajili ya show yake katika tamasha la Coachella. Ripoti inasema kwa sasa Beyonce ...
Skip to toolbar