CHRIS BROWN CHINI YA ULINZI TENA. KAFANYA HIVI

0

Chris Brown amekamatwa akiwa anaendesha pikipiki isiyokuwa na Plate number huko Amsterdam nchini Uholanzi.

Hata hivyo, inaripotiwa kwamba Chris Brown alifanikiwa kuwazuga polisi husika hadi akaachiliwa huru.

Inadaiwa Chris Brown alikuwa kwenye hali mbaya wakati anakamatwa sababu alikuwa ametoka kuvuta Marijuana na alikuwa amelewa.

Imegundulika kuwa askari waliomkamata hawakujua Chris Brown ni mtu maarufu sana na walikubali kupotezea kosa hilo mpaka baadae walipojikuta wamezungukwa na wapiga picha.

Chris Brown alipewa ticket ya kosa hilo na kupelekwa kwenye kituo cha polisi kulipa faini.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CRACK SOUND KILIFI IMERUDI UPYA

Baada ya kipindi kirefu cha kimya katika tasnia ya mziki kanda ya pwani, record label ya Crack Sound tawi la kilifi imetangaza kurudi rasmi katika ...
Skip to toolbar