Chris Brown apinga shtaka alilofunguliwa, aapa kutoa ushahidi

0

Mwimbaji wa miondoko ya RnB Chris Brown ameapa kujitetea kwa kutoa ushahidi dhiidi ya madai kwamba alimshambulia kwa ngumi mwanamume mmoja.

Taarifa kutoka mahakamani zineleza kuwa tarhe 31 mwezi may CB ataonyesha ushahidi wake kwamba hakumpiga mlalamishi kama anavyodai.

Jamaa mmoja kwa jina Bennie Vines anadai kupihgwa ngumi na CB katika ukumbi mmoja wa burudani mwaka wa 2007.

Chris Brown apinga shtaka alilofunguliwa, aapa kutoa ushahidi

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BEYONCE NA JAY Z WAWASHA MOTO MITANDAONI

Wasanii wapenzi kutoka nchini Marekani, Beyonce na Jay Z wamezua gumzo mtandaoni baada ya picha wakiwa kwenye boda boda kusambaa mtandaoni. Picha hizo zinamuonyesha Jay ...
Skip to toolbar