CHRIS BROWN AKERWA NA HILI BAADA YA BET AWARDS

0

Msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Chris Brown amezua gumzo mitandaoni baada ya kuzichana tuzo za BET.

Kupitia instagram account yake, Chris Brown amesema hahitaji tuzo za BET kutaazwa mfalme wa mziki wa RnB ulimwenguni.

Kauli yake imejiri baada ya kukosa kushinda tuzo katika makala ya mwaka huu ya tuzo za BET, hii ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo kukosa, baada ya kutoshinda katika makala ya miaka ya 2016 na 2017 licha ya kuteuliwa kuwania tuzo katika vitengo kadhaa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar